LEKA DUTIGITE lyrics by Kigoma All Stars - FARMERCIST 254

FARMERCIST 254

This site discusses farming issues in relation to Kenya with particular emphasis on poultry farming.

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday 28 August 2016

LEKA DUTIGITE lyrics by Kigoma All Stars

Kigomaaa aee kigoma weeh tunayo furaha leka dutigite Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke (ommy dimpoz) K k k k town kasulu ndipo baba alipozaliwa ooh japo nipo Dar Naupenda mkoa wangu kk kigoma kama vi paji tumejaliwa Kaseja na linya fahari mkoa wangu Amawesele hivilibwani hivikunakadwumba (pozi kwa pozi) Kigoma mkoa wangu ndio fahari yangu Ardhi yenye rutuba ya kustawisha chelewa Gombe na mahali wenye sokwe wasiolewa Kigoma inapendeza sanaaa Tunashukuru hivi ndio ninavosema Nina furaha mbuga zetu Nina furaha mafuta yetu Ninafurahi eei ninafuraha Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke (chege) Kigoma ndipo nilipotoka nimekuja dar kutafuta Siku zote ntawakumbuka Najivunia na sitajuta (nakumbuka) Nakumbuka mama alisema ( nakumbuka) mkataa kwao mtumwa dutigite Kigoma inatambaa Tanganyika inabamba Tufurahi tusherehekee pamoja Twajivunia kigoma Tunamshukuru maulana Kigoma lango la Tanzania Bandari kwa kahawa shaba kwa matania Amani kwa wazawa kasulu kibondo ubunza (baba levo) Avandu bakundi vikogwaaa Ziwa refu tunalo na madini tunayo Tuna mbuga za wanyama kama gombe na mahale Ardhi safi tunayo na vipaji tunavyo Sauti safi tena tamu tamu tamu tamu Vigelegele na mashumamushamu Kigoma yetu mambo bambambam Meli ya lyemba wanasiasa mashujaa Watetezi wa taifa kigoma tunatoka wote mastaa Miss Tanzania K-lynn Kaseba champion leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke Wese na ugali wa mhogo aakha wa muhogo Ndivyo vimenifanya niwe diamond Kwa vitenge na mashuka na chumvi kidog Tena na muda nikawa mfalme tena kigoma ya sasa sio kama ya zamani kigoma ya leo imesonga mbele tena kigoma ya sasa sio kama ya zamani kasulu ya leo imesonga mbele Amani na upendo ndio lugha ya kigoma Kigoma ishaghoma kigoma yaenda mbele Rangi yako ya kijani upepo wako ni mwanana Kigoma nakupenda kigoma unanipenda Amani itawale kigoma amani itimie kigoma amani inyumba kigoma shigoma kigoma Amani itawale kigoma amani itimie kigoma amani inyumba kigoma shigoma kigoma Kigoma shukrani kigoma Kigoma nyumbani kigoma Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke …….till fade

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages