Baby Madaha asema ameamua kutulia ili kuitunza ndoa yake... - FARMERCIST 254

FARMERCIST 254

This site discusses farming issues in relation to Kenya with particular emphasis on poultry farming.

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 12 May 2016

Baby Madaha asema ameamua kutulia ili kuitunza ndoa yake...

Msanii wa filamu, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina. Baby Madaha Muimbaji huyo ambaye yupo mbioni kuachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Corazon’, ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa kwa sasa maisha yake ni Tanzania na Dubai. “Kwa sasa ninaishi nchi mbili, nipo Tanzania na pia nina makazi yangu mapya huko Dubai, nimeolewa na Mwarabu na nimetulia kwenye ndoa yangu najiachia kwangu, ahaaaa!” alijibu kisha akamalizia kwa kicheko. Madaha amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa mkao wa kula kwa ajili ya ujio ya video yake mpya ambayo ameshoot Dubai.

For More Music Updates And News FIND US ON:

TWITTER: @KenyansMusic

FACEBOOK: Kenyans Music

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages