Diamond Akanusha Kumsaliti Zari na Model wa Video ya Raymond ‘Kwetu’... - FARMERCIST 254

FARMERCIST 254

This site discusses farming issues in relation to Kenya with particular emphasis on poultry farming.

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday 14 May 2016

Diamond Akanusha Kumsaliti Zari na Model wa Video ya Raymond ‘Kwetu’...

Diamond Platnumz amekanusha tetesi zilizowahi kuvuma mtandaoni kuwa alimsaliti mpenzi wake Zari na mrembo aliyetumika kwenye video ya wimbo wa msanii wake Raymond, Kwetu. “Sio kweli, wanahisi hivyo kwasababu ni binti mzuri, wanaamini kwamba kwasababu ni binti mzuri naweza kufanya chochote, kwasababu naonekana kuwa ni maarufu na nina uwezo, Raymon ndio msanii wetu so labda ningeonekana kuwa naweza kuchukua majukumu hayo,” Diamond aliiambia Fahamu TV. Tetesi ambazo bado zinaendelea kuvuma zilisababisha msichana huyo aitwaye Irene atukanwe na baadhi ya mashabiki. -UDAKU

For More Music Updates And News FIND US ON:

TWITTER: @KenyansMusic

FACEBOOK: Kenyans Music

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages