Baraka Da Prince anaswa akimdhalilisha Linah.. - FARMERCIST 254

FARMERCIST 254

This site discusses farming issues in relation to Kenya with particular emphasis on poultry farming.

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 10 June 2016

Baraka Da Prince anaswa akimdhalilisha Linah..

Katika hali ya kushangaza, staa wa Bongo Fleva, Baraka Andre ‘ Baraka Da Prince’ amenaswa akimdhalilisha staa mwenzake, Estalina Sanga ‘Linah’ kwa kumshika sehemu zake nyeti. Tukio hilo la aina yake lilijiri wikiendi iliyopita katika Ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar kulipokuwa na shoo ya kuadhimisha miaka kumi ya sta wa Muziki wa Dansi, Christian Bella ‘Obama’. Baraka na Linah waliokuwa miongoni mwa mastaa waliokuwa kwenye ratiba ya kuburudisha siku hiyo, walifany tukio hilo walipokuwa nyuma y jukwaa (back stage) walipokuw wakisubiri muda wao wa kutumbuiza ufi ke. Paparazi wet aliyekuwa akifanya ziara ya kushtukiza mara kwa mara bac stage, kuna wakati alifanikiwa kumkuta Baraka akiwa ameingiza mkono kweny kifua cha Linah huku mrembo huyo akionekana kumpa ushirikiano. “Mh! Huu ni udhalilishaji, hata kama wameamua kuwa na uhusiano, kwa nini haya mambo wasifanyi chumbani? Baraka anamdhalilisha tu Linah. Naye sijui kwa nini anakubali kuingiz mkono vile,” alisikika shuhuda mmoja. Alipoulizwa na paparazi wetu kuhusiana na tukio hilo n kama ana uhusiano wa kimapenzi na Baraka, Linah alid haoni tatizo kwani atakuwa amerejea kwenye himaya yake ya zamani. “Naona ni bora kumrudia wa zamani ambaye nimemzoea,” alijibu Linah na kuomba aachwe. Kwa upande wake Baraka ambaye inafahamika ni mpenzi halali wa mtoto mzuri Naj, hakutak kuzungumzia chochote kuhusiana na tukio hilo zaidi ya kuishia kucheka tu. Linah na Baraka waliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi kabla y kila mmoja kuchukua hamsini zake hadi waliponaswa wikiendi iliyopita ufukweni hapo.

For More Music Updates And News FIND US ON:

TWITTER: @MzukaEnt

FACEBOOK: MZUKA MEDIA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages