Diamond Platnumz akosa tena Tuzo ya BET...Huyu ndie Mshindi wa Tuzo hii - FARMERCIST 254

coollogo_com-17515245

This site discusses farming issues in relation to Kenya with particular emphasis on poultry farming.

Breaking

Post Top Ad

Sunday, 26 June 2016

demo-image

Diamond Platnumz akosa tena Tuzo ya BET...Huyu ndie Mshindi wa Tuzo hii

Responsive Ads Here
diamond+BET

Katika Tuzo hii Black Coffee alikuwa akishindina vikali na wababe wa Muziki wa Afika kwa sasa akiwemo Diamond Platnumz, Wizkid, Yemi Alade na Cassper Nyovest kutoka nchini Afrika ya kusini.

black+coffee
HUYU NDIE BLACK COFFEE


Katika Mtandao wa Instagram wa BET AFRIKA wamepost picha ya Black Coffee na kuandika "🎉🎊 Winner: Best International Act: Africa - Black Coffee #BETAwards16".

Bahati haikuwa kwetu, Hongera Pia kwa Diamond Platnumz japo hajashinda lakini ametuwakilisha vizuri sana katika kuufikisha Muziki wetu katika level ya Kimataifa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *