Huu ni ushauri ambao Shaa alipewa na Lady Jaydee na hatousahau maishani mwake - FARMERCIST 254

FARMERCIST 254

This site discusses farming issues in relation to Kenya with particular emphasis on poultry farming.

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, 11 June 2016

Huu ni ushauri ambao Shaa alipewa na Lady Jaydee na hatousahau maishani mwake

ShaaShaa alipewa ushauri muhimu na Lady Jaydee ambao hadi leo hatousahau na umemsaidia kwenye maisha yake ya muziki.
“Namquote dada Jide kitambo like 5 or 6 years back aliniambia kwamba ‘ukifanya kazi hii kwaajili ya kupata awards mdogo wangu utagive up’ utakata tamaa. Aliniambia wewe fanya kazi hii focus kwenye malengo yako, tengeneza pesa ujifikishe pale unapotaka,” alisema Shaa kwenye video ambayo Jide aliipost Instagram.
Jide aliandika kwenye video hiyo: Unapompatia mdogo wako ushauri halafu anaamua huufanyia kazi ni jambo la faraja sana. Keep it up my Shaa. Never ever Give up, no matter what.”

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages