Kwasasa Chidi Benz amekuwa kama dhahabu ambayo ilipitishwa kwenye moto nakung’aa upya baada ya kutoka rehabu ambapo alikuwa akifanyiwa matibabu ya kuachana na madawa ya kulevya. Wema Sepetu amekuwa miongoni mwa wasanii ambao wameupenda muonekano wa Chidi Benz nakuamua kuandika “The KingKong is Baaaaaaack…. Fanya kumfollow now @officialchidibeenz @officialchidibeenz @officialchidibeenz @officialchidibeenz @officialchidibeenz @officialchidibeenz …. Dah Kiboko yao….. Mwenyezi Mungu azidi kukupa ujasiri Komando wangu…. Hawakuwezi… Niamini mimi….. Okay guys please Repost this na tumuwezeshe kaka etu kupata followers wa kutosha… Something is Cooking…. Anakuja na Bonge moja la track…. Hakuna kinachoshindikana ukimtanguliza Allah kwakweli…. ” Ambapo pia aliweka link inayo unyesha account mpya ya Chidi Benz ili watu waweze ku mfolo.
For More Music Updates And News FIND US ON:
TWITTER: @MzukaKenya
FACEBOOK: MZUKA MEDIA
No comments:
Post a Comment