Akothee: Ana watoto watano lakini bado mbichi. - FARMERCIST 254

FARMERCIST 254

This site discusses farming issues in relation to Kenya with particular emphasis on poultry farming.

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 19 July 2016

Akothee: Ana watoto watano lakini bado mbichi.

Akothee ni msanii mwenye watoto watano lakini bado ameonekana kuwa mrembo huku akidaiwa kuwa na mimba nyingine kwa sasa. Muimbaji huyo kutoka nchini Kenya ameonekana kuanza kuwapiga bao wasanii wengine kutoka nchi hiyo kutokana na juhudi anazozifanya kwenye muziki wake huku akiwa tayari ameshafanya collabo na mastaa wawili wakubwa Afrika, Diamond na Mr Flavour. Aidha Akothee aka Madam Boss ni mmoja kati ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu zaidi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki kutokana na biashara zake anazofanya ikiwemo ya kilimo na usafirishaji.

For More Music Updates And News FIND US ON:

TWITTER: @King25flow

FACEBOOK: King25flow

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages