Moddy Wa Leo ni member wa ‘Vunja Stage’, kundi la dancers ambao mwanzoni walikua wanafanya kazi na Dazlah alafu baadae wakajiunga na Wachawi International, ambayo ni team ya msanii Susumila. Kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba hata kabla kua dancer, Moddy alikua ni msanii. Ana utunzi wa hali ya juu sana na sauti yake habahatishi. Kabla kundi hilo la ‘ Vunja Stage’ kuacha kufanya kazi na Dazlah, Moddy alikua ame,record wimbo huu ambao kwa sasa anajitayarisha kutayarisha video yake ambayo ataiachia mwanzoni mwa mwezi wa December. Kua wa kwanza kuskiliza wimbo huo wa Moddy aliomshirikisha boss wake wa zamani

No comments:
Post a Comment