GIGY Money ‘Nawashauri Wadada Wasivae Nguo ya Ndani Kama Mimi’ - FARMERCIST 254

coollogo_com-17515245

This site discusses farming issues in relation to Kenya with particular emphasis on poultry farming.

Breaking

Post Top Ad

Friday, 2 December 2016

demo-image

GIGY Money ‘Nawashauri Wadada Wasivae Nguo ya Ndani Kama Mimi’

Responsive Ads Here

.com/blogger_img_proxy/


Baada ya video queen, Gigy Money kusemwa katika mitandao ya kijamii kwamba havai nguo ya ndani, mrembo huyo amesema ni kweli havai na ni maisha anayopenda kuishi. Akiongea na Bongo5 Jumamosi hii, Gigy Money amesema anajisikia vizuri akivaa nguo bila kufuli kwani anajiona yupo huru zaidi. “Hata hapa nilipo sijavaa ch**i na nikweli sipendi kuvaa ch**i ila napenda kuvaa ch**i yenyewe bila kuvaa nguo juu yake,” alisema Gigy Money. “Ch*pi nayo ni nguo na ni vazi la ndani, nivae ch*i nisivae hayo hayawahusu, hapa nilipo sijavaa c**i kwanza c**i inaharibu shepu, kama hii nguo niliyovaa leo nikivaa na c**i si naharibu nguo yangu, vitu ninatakiwa kuonekana. Tena ningewashauri wadada wenzangu wabane matumizi kwa sababu ch**i zinapanda bei kila kukicha,” aliongeza. Katika hatua nyingine Gigy amesema kwa wasanii wachanga ndio watu ambao wanamtafuta zaidi ili ashiriki kwenye video zao.


.com/blogger_img_proxy/ .com/blogger_img_proxy/

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *